iqna

IQNA

idul adha
Sikukuu ya Idul Adha
TEHRAN (IQNA) - Waislamu katika mji mkuu wa Canada, Ottawa, wamekuwa wamekusanyika kusherehekea Idul Adha ana kwa ana mwaka huu – haya yakiwa ni mabadiliko makubwa baada ya miaka miwili ya vikwazo vya COVID-19.
Habari ID: 3475488    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/11

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejiunga na wenzaoi duniani leo kuadhimisha sikukuu ya Idul Adha sambamba na Mahujaji wanaokamilisha ibada ya Hija katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475485    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10

Idi
TEHRAN (IQNA)- Mwaka huu kulijitokeza hitilafu katika baadhi ya nchi za Kiarabu na Kiislamu kuhusu siku kuu ya Idul Fitr lakini inaelekea kuwa kutakuwa na hitilafu katika kuanisha siku kuu ya Idul Adha.
Habari ID: 3475433    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27

TEHRAN (IQNA)- Sherehe za Idul Adha zimefanyika kote duniani ambapo katika baadhi ya nchi zimefanyika Jumanne na maeneo mengine jumatano.
Habari ID: 3474118    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/22

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya waumini Wapalestina waslihisiri katika Sala ya Idul Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) baada ya hujuma za siku kadhaa za Wazayuni dhidi ya Msikiti huo.
Habari ID: 3474117    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/22

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu maalumu kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kuwatakia kheri na baraka kwa mnasaba wa kuadhimisha Sikukuu ya Mfunguo Tatu ya Idul-Adhha.
Habari ID: 3474116    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/21

TEHRAN (IQNA) – Mwaka huu janga la corona au COVIDI-19 limepelekea ibada Hija iwe tafauti na pia sherehe za Idul Adha kote duniani zimetafuatiana na miaka iliyopita. Hatua za kupunguza idadi ya mahujaji na kuweka vizingiti katika sherehe za Idi zimechukuliwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473027    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tiba ya vikwazo ni kuutumia ipasavyo uwezo na fursa za ndani, na si kusalimu amri mbele ya matakwa ya Marekani.
Habari ID: 3473020    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ujumbe wa Idi
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono na kheri na fanaka na kuwapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikukuu hii kubwa ya Idul Adh'ha.
Habari ID: 3473016    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31

TEHRAN (IQNA) – Mufti Mkuu wa Ghana amesema inajuzu kwa Waislamu nchini humo kuswali Swala ya Idul Adha nyumbani.
Habari ID: 3472998    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri imetangaza kuwa swala ya Idul Adha nchini humo itaswalia katika msikiti mmoja tu.
Habari ID: 3472994    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24

TEHRAN (IQNA) – Rais Bashar al Assad wa Syria leo asubuhi ameshiriki katika Sala ya Idul Adha iliyofanyika katika Msikiti wa al-Afram mjini Damascus.
Habari ID: 3472078    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/11

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wapalestina Jumanne wameswali Sala ya Idul Adha katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471642    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/22

TEHRAN (IQNA)- Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametangaza usitishwaji vita wenye masharti na kundi la wanamgambo wa Taliban kabla ya SIku Kuu ya Idul Adha kuanzia Jumatatu.
Habari ID: 3471637    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Adha.
Habari ID: 3470559    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/12